Popular Posts

Saturday, June 6, 2009

Yaliyotokea uchgauzi wa UWT

, tutaendanayo mpaka uchaguzi Mkuu 2010

Na Deogratius Temba
MWISHONI mwa wiki iliyopita Jumuiya ya wanawake wa Chama Cha mapinduzi, (CCM), walifanya uchaguzi wao na kupata Mwenyekiti wao Mpya wa taifa, ambayo ndiyo nadfsi nyeti zaidi katika uongoiz wa jumuiya hiyo.

Huo ni mchakato wa kuendeela kujaza nafsi zilizoisha muda wake ndani ya jumuiya mbalimbali za Chama hicho, kunzia zile za Vijana (UVCCM,wazazi, nk.

Katika chqaguzi ambzo zimeshafanyika hizi mbili za wananwake na Vijana, tunaw3eza jkujifunza kitu sasa, kuna mambo mengi yametokea kwa watazamaji wanweza kusem,a kuwa kuna kitu kinonekana kuwa kimekomaa ndani ya chama.

Hatuwezi tena kusema kuwa rushwa inakwisha nchini bila jitihada za ziada kuchukiliwa ili kujinasua katika uchafu hu.

Kila jumuiya unayozungmza inonekana kuamini kuwa bila kutoa takrima, rushwa au posjhop kwa wajumbe wa mkutano mkuu huwezi kupita.

Huu ndiyo uchaguzi ambo tunazungumza, asiye na pesa hawezi kugombea nafsi leo, ni wenye pesa tu, wajum,be waanaangalia wewe unataka uongoiz unash,. Ngapi za kutupatia, tutakufaidi namna gain

Tukirudi nyuma wajkati wa uchgauzi wa UVCCM, hali ilichafuka baada ya kila kila mwanasiasa kwa kutm,bua mumhuhimu wa wajumbe wanaochaguliwa mbao moja kwa mojqa wanakuwa wajumbe wa Kamati Kuu,ya CCM, wanataka wawwaweke watu wao.

Wanasiasa wachafu kwa kujua kuwa bila kutengeneza watu wao ndani ya CC, hawawezi kuwa na maisha bora ndani ya CCM, wanaamua kuchafua chaguzi za CCM, na kuzifanya miradi yao binafsi.

Mwenyekiti wa CCM, taifa alistukia hali hiyo, awali naamua kuupeleka uenyekiti wa CCM, visiwani, ambapo baadaye Yusuf Masauni, saliibuka mshindi na kutangazawa kuwa Mwenyekiti wa Vinaja,Ndivyo ilivyokuwa kwa Jumuiya ya akina Mama, hapo mambo yalizisdi kuwa magumu, na Mwebnyeikiti alishindwa kuingilia hsas baada ya baadhi ya wajumbe kumhusisha yeye mwenyewe kuwa kaweatuma.

Hali ya uchaguxi wa UWT, ilienda mbali zauidi baada ya kugeuka kuwa ya matusi, kashifiana, manneo mabaya, na pesa kutumika kama silaaha ya kutafuta ushindi wa kulazimisha.

Nilababahatika kusoma, baadhi ya vijipeperushi vya wagombea hao, ilikuwa ni kero, na aibu, kwani maneno mengine yanayotumika ni aibu kwa watu wazima.

Ni ukweli kuwa nafsi hizo zinaubora wake lakini hatutaki mtu mangaaalie obiora wa nafsi anayochukua badala ya kunagalia watua naotarajia kuwaongoza.
Uchaguzi waiana hiyo ndiyo unaotuipelka mwakani 2010, ndiyo uchaguzi mchafu ambao CCM wanatarajia kuanza nao mwakani, haopa inaopnyesha wazi kuwa siasa chafu, za kuchafuanmja, kupakana matope, kuaibishana, hazitaisha nchnui,

Siasa za matusi, na kucfauana mara nyingi, zinaenda opamoja na matumizi ya fedha, kwasabau ni lazmia ukodishe watu watakao fanmya kazi ya fitisna hizo, kutukana na mambo mengine.


Hapo ndipo matumizni mabaya ya fedha wakati wa uchgauzi yanapoozania, na ndiko CCM wanakoelekea kuundeleza mchezo wa kutumia fedha katika chaguzi.


Hapo ndipo tutakapo tengeneza madaraja, au matabaka, ya watu kwasaabu kama huna fedha hutaweza kugombea, kama huwezi kukodi watu wakiufanya fintina hutaweza kuwa kiongoiz ndani ya CCM.na hata serikalini.

Tunapawswa kijufunzwa kwa wakati wa Hayati Mwalimu Nyerere alikataza matumizi ya fedha na ilifika wakati Marehemu Edward Moringe Sokoine, aligombea Ubunge wa Munduli na Dereva, wa halimashauri, kutokana na kutokuwepo kwa matumizi ya fedha.

Fikiri, waziri mkuu anashindana na dereva, wa hyalimashauri, ambaye mshahara wake ulikuwa hauwezi kuwa hata theluthi moja ya mshahara wa Sokoine.


Hizi ni siasa ni siasa ambazo tusipobadilika zitatuplela mbali
Hatakiwa mtu kutafuta nafsi ya UWT, afikirie tu nafsi yake ya kuwa Mbunge na afikirie tu kuwa atakuwa waizir bhila ya kufikiri nsa kuumia juu ya watu au kundi amblo amebeba dhamana ya kulisadiia, au kuliongoza.

Nafsi hiyo ambyo sasa inashuikiliwa na Sofia Simba, ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Vitimaalum na wqaziri wa Ofisi ya Rais Utawala Bora, anapaswa kujua kuwa yeye siyo kwaajili ya Ubinge wala uwazirei ambao atapewa, ni kwaajili ya wata=nawake wa tanznaia.

Simba, pamoja na kuwa hatuyjui kama ndiye aliyekuwa chaguzo sahihi kwa wanawake wote,

11 comments: