Popular Posts

Wednesday, February 17, 2010

Haji Manara akamatwa

*Ni kada wa CCM aliyekimbia dhamana Polisi

Na Deogratius Temba
HATIMAYE aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Dar es salaam, Haji Manara aliyekimbia dhamana katika kituo cha Polisi Magomeni, amekamatwa na Jeshi la Polisi.

Manara alikamatwa Januari 28, mwaka huu baadfa ya kutuhumiwa kutapeli magari 18 kwa kutumia jina la Chama hicho, lakini baadaya alikiimbia dhamana aliyowekewa na Mama yake Mzazi na kupelekea mama yake kukamatwa na kusekwa rumande.

Taarifa za uhakika ambazo Tanzania Daima limezipata jana na kudhibitishw a na watu wa karibu na Manara, zimeeleza kuwa Manara alikamatwa jana saa 4:30, asubuhi na makachero wa Jeshi la Polisi waliokuw a wakimtafuta kwa siku kadhaa, na kupelekwa katika kituo cha polisi Magomeni ambapo alihojiwa kwa masaa kadhaa.

jiotihada za kumtafuta kamanda wa polisi kinodnoni zinaendelea

habari zaidi zitaendelea baadaye,..............................

No comments:

Post a Comment